# mmmlu / mmmlu-sw-ke-00132

- taskset: [mmmlu](https://harnessreport.com/tasks/mmmlu.md)
- difficulty: 
- category: other
- language: SW-KE
- runnable from the site: no
- agent timeout: 300s

## Results by harness

_none yet_

## Instruction

```
Answer the following multiple choice question. The last line of your response should be of the following format: 'Answer: $LETTER' (without quotes) where LETTER is one of ABCD. Think step by step before answering.

Mwanamke mwenye umri wa miaka 75 anakuja ofisini kwa uchunguzi wa matengenezo ya afya. Anasema kwamba amechoka zaidi kuliko alivyokuwa akiwa na umri wa miaka 65, lakini bado analima kwenye bustani na kuendesha gari hadi kwenye duka la mboga. Uchunguzi wa kawaida wa maabara unaonyesha hesabu ya selidamu nyeupe ya 25.0 × 103/mcL (kiwango cha marejeleo cha 4.5-11.0 × 103/mcL) na 97%  ya selidamu nyeupe zinazoonekana kukomaa kwenye sampuli ya damu. Madoa ya Immunohistochemical huonyesha selidamu nyeuoe kuwa asili ya seli-B. Utambuzi unaowezekana zaidi ni

A) Ugonjwa kali wa lukemia ya limfu
B) Ugonjwa kali wa lukemia ya uboho
C) Ugonjwa sugu wa lukemia ya limfu
D) Ugonjwa sugu wa lukemia ya uboho
```
---
Harness Report runs agent harnesses from their GitHub repos on Harbor tasks and records every model call. Every page is also `.md` and `.json`; index: https://harnessreport.com/llms.txt · MCP: https://harnessreport.com/mcp
